IFAHAMU LEO SIRI ILIYO TUMIWA
NA MABABU ZETU
KUONDOKANA NA CHANGAMOTO
YA UZITO OLIO PITLIZA
KITAMBI NA NYAMA UZEMBE
Mpendwa msomaji,
kama unataka kupunguza UZITO kwa haraka na kwa usalama.
Ili uweze Kuondokana na nyama uzembe, kuondokana na kitambi
Kupata Muonekano na Mwili wa Kuvutia na uweze
Kudhibiti Hamasa ya Kula (Appetite Control) bila madhara yeyote
Pia kuepusha hatari ya kupata magonjwa yasiyo ambukizwa yatokanayo
na uzito ulio pitilza,nyama uzembe na kitambi
kama kisukari,presha,shambulio la moyo na maumivu ya viungo
Bila madhara yeyote mwilini mwako…
Na uweze kufanya shughuli ulzo kuwa unashindwa kuzifanya
kwa sababu ya
Kitambi na uzito uliopitiliza na hatimaye uwe na afya bora na viwango bora vya nishati
Basi unatakiwa kusoma kila neno
kwenye ukurasa huu kwa sababu….
Unaelekea kugundua njia
Mpya na yaki pekee
Ambayo haihitaji kuharisha,kutapika
Wala diet kali(inayoweza sababisha vidonda vya tumbo)
Na mazoezi makali
Njia hii haina madhara yeyote mwilini na
Ime thibitishwa na mamlaka za afya kwa
kupunguza uzito,nyama uzembe, na kitambi
Kama vile upepo unavyo pungua
Kwenye tairi ya gari iliyo pata pancha!
Naitwa DR.Elly ni ukweli usiopingika kwamba watu wengi wanapambana na uzito wa mwili.
kutokana na mtindo wa maisha wa kisasa ambao unajumuisha kula vyakula vya haraka,
kukosa muda wa kufanya mazoezi, na vilevile msongo wa mawazo ambao unaweza kuchangia kula kupita kiasi.
Mimi kama daktari nimekutana na watu wengi wanao pata changamoto
Ya uchovu wa mara kwa mara, maumivu ya viungo,
Na wengine tayari wanaugua magonjwa kama kisukari na shinikizo la damu kwa sababu ya kushindwa kudhibiti uzito wa mwili na nyama uzembe.
Maria anderson ni moja ya kati ya watu nilio kutana nao katika shughuli zangu zaki tabibu.
Maria alikuwa na changamoto kubwa na uzito wake.
Kwa muda mrefu alijaribu mbinu tofauti za kupunguza uzito
kuanzia kufanya mazoezi makali hadi kufuata mlo mkali.Hata hivyo, juhudi zake hazi kuzaa matunda aliyo tarajia.
Alikuwa na tatizo kubwa la nyama uzembe (mafuta ya ziada mwilini),
Hasa kwenye tumbo na mikono, na kila wakati ali hisi kuchoka baada ya jaribio lingine kufeli
Matumaini yake ya kuonekana na kuji hisi vizuri yaliendelea kuyeyuka.
Nilikutana na maria katika hospitali ambayo nahudumu.
Maria alikuja kwa ajili ya kufanya vipimo vya tumbo kwani alkua akipata maumivu makali ya tumbo.
Baada ya vipimo maria algundulika na vidonda vya tumbo.
Ndipo akanieleza harakati zake zaku taka kupungua uzito.
Nika gundua kuwa diet kali aliyo kuwa akiifanya ili apungue uzito ime mletea vidonda vya tumbo kwa kukaa na njaa muda mrefu.
Ndipo nilipo mwelekeza Maria njia hii sahihi ya kupunguza uzito.
Maria hakuwa mmbishi kwa kuwa alisha teseka sana na alipo amua kuanza safari hii mpya alianza kuona mabadiliko.
Baada ya siku tisa maria alipungua kilo 8kg kutoka kwenye kilo 108 kg hadi 100 kg
Aliendelea kutumia njia hii baada ya mwezi maria alkua amepugua zaidi ya kilo 30 kg nakuwa na kilo 70kg .
Maria alikuwa ame punguza uzito kwa asilimia kubwa na nyama uzembe zilikuwa zimetoweka karibu kabisa.
Alikuwa na umbo linaloelekea kwenye afya njema
Na zaidi ya yote, alihisi amejipenda na kuwa na imani mpya katika mwili wake.
Pengine una jiuliza Maria alitumia
bidhaa gani iliyo msaidia kupunguza uzito na kuondokana na nyama uzembe.
Usijali ndani ya dakika mbili zijazo nita kuonyesha ni kitu gani Maria ali tumia lakini kwanza una takiwa ujue kwamba…………..
TAFITI ZA KISAYANSI ZINAONYESHA KWAMBA
WATU ZAIDI YA BILIONI MOJA DUNIANI
WANA TATIZO LA UZITO ULIO PITILIZA
NA NYAMA UZEMBE.
Uzito ulio pitiliza ni hali ya kiafya inayo julikana Kama mkusanyiko wa mafuta mwilini zaidi ya kiwango cha kawaida
na mara nyingi hutajwa kwa kutumia kipimo cha body mass index.
(BMI) cha 25 au zaidi Yani uwiano kati ya uzito wako na urefu wako ukiwa 25 au zaidi.
SABABU ZA UZITO ULIOPITILIZA MWILININI
Mabadiliko katika Usawa wa Nguvu (Energy Balance)
Uzito ulio pitiliza hutokea wakati kuna usawa hasi wa nguvu,
Ambapo mtu anakula kalori nyingi zaidi kuliko anavyotumia kupitia shughuli za mwili na kimetaboliki.
Kalori ziendazo kwenye mwili zina hifadhiwa kama mafuta.
Ulaji wa chakula: Ulaji wa chakula kilicho na kalori nyingi (hasa vyakula vyenye mafuta na sukari) huongeza hatari ya kupata unene.
Kutokufanya mazoezi: Kiasi kidogo cha shughuli za mwili au mazoezi hupunguza matumizi ya nishati (kalori), na hivyo kusababisha kutunza mafuta mwilini.
Mabadiliko katika Mfumo wa Hormon (Hormonal Imbalance)
Hormon mbalimbali zinahusika katika kudhibiti hamu ya kula, uhifadhi wa mafuta, na matumizi ya nishati
Leptin: Hormon hii hutolewa na seli za mafuta na ina jukumu la kupunguza hamu ya kula na kuongeza matumizi ya nishati.
Katika obesity(uzito ulio pitiliza)kuna upinzani wa leptin, ambapo mwili hautambui ishara za leptin, hivyo hamu ya kula inaendelea.
Ghrelin: Hormon hii ina hamasisha hamu ya kula, na inakuwa juu wakati mtu anahisi njaa.
Katika uzito mkubwa na unene, viwango vya ghrelin vinaweza kuwa vya juu hata baada ya kula, na kuleta ulaji wa chakula kupita kiasi.
Vinasaba (genes) vinaweza kuwa na mchango katika tabia ya mwili ya kuhifadhi mafuta au kiwango cha metaboli.
Hii inamaanisha kuwa watu wenye historia ya familia ya uzito uliozidi
Au unene sana wanaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na tatizo hilo kutokana na urithi wa vinasaba vinavyoathiri jinsi mwili unavyohifadhi na kuchoma mafuta…
Hivo basi ukitaka kujua wewe ni mnene na una uzito wa kupitiliza anza na kupima tumbo
kwakua ni njia rahisi kuliko BMI Ambayo ina hitaji calculation na vipimo sahihi kupata majibu mazuri..
hivo anza na kupima unene wa tumbo kwa kutumia futi kamba(tape measure)
Mwanaume ukiwa na zaidi ya nchi 40 tayari umesha pitiliza na
Mwanamke ukiwa na zaidi ya nchi 34 tayari una unene ulio pitiliza..

KWANINI UNENE KWENYE TUMBO NI HATARI ZAIDI
kwenye tumbo au kitambi Kuna mafuta yaliyo nje ya tumbo na Kuna mafuta yaliyo ndani ya tumbo ( visceral fat).
Ambayo ni mabaya zaidi mafuta haya yanapo kuwa mengi zaidi Yana enda kuweka mgandamizo kwenye ogani za ndani muhimu kama vile Ini,Figo,kongosho na utumbo
Hivo kupelekea kuharibu mawasiliano kati ya hizi organi na kusababisha kisukari,presha,uwiano mbaya wa homoni(hormone imbalance) na
kuongeza kwa cholesterol (mafuta mbaya)

KWANINI WANAWAKE WANAPATA NYAMA UZEMBE
NA UZITO ULIO PITILIZA.
BAADA YA KUJIFUNGUA
NA KIPINDI CHA KUNYONYESHA?
Wanawake wengi hupata uzito wa ziada na nyama uzembe baada ya kujifungua kutokana na sababu mbalimbali za kibiolojia, kisaikolojia, na kijamii.
zifuatazo ni baadhi ya sababu kiujumla
1. Mabadiliko ya Homoni
Baada ya kujifungua, viwango vya homoni kama estrojeni na progesteroni hubadilika ghafla.
Mabadiliko haya yanaweza kusababisha:
Kuhifadhi mafuta mwilini, hasa eneo la tumbo.
Kuwepo kwa shida ya mwili kurejea katika hali ya kawaida baada ya ujauzito.
2. Ulegevu wa Misuli ya Tumbo
Wakati wa ujauzito, tumbo la mwanamke hupanuka sana ili kumpisha mtoto.
Hii husababisha misuli ya tumbo kulegea, na wakati mwingine, hali ya diastasis recti (mishipa ya tumbo kutengana) hutokea, jambo linaloleta nyama uzembe.
3. Kula Kupita Kiasi
Wanawake wengi huendelea kula zaidi hata baada ya kujifungua kwa sababu ya:
Kuhisi njaa nyingi wakati wa kunyonyesha.
Tabia iliyobaki ya kula chakula kingi kipindi cha ujauzito.
4. Ukosefu wa Mazoezi
Wanawake wengi hawana muda wa kufanya mazoezi kutokana na majukumu ya kulea mtoto na uchovu.
Hii huchangia mafuta kuzidi mwilini.
5. Mkazo na Uchovu
Baada ya kujifungua, wanawake hupitia changamoto za kisaikolojia kama:
Mkazo wa kihisia kutoka kwa jukumu jipya la kuwa mzazi.
Ukosefu wa usingizi, unaosababisha mwili kuhifadhi mafuta zaidi.
6. Kurithi Tabia au Mwili
Baadhi ya wanawake wanaweza kurithi tabia za mwili zinazofanya iwe rahisi kuongezeka uzito baada ya kujifungua
7.Uongezekaji wa Mafuta Wakati wa Ujauzito
Wakati wa ujauzito, mwili huhifadhi mafuta kwa ajili ya kunyonyesha.
Baadhi ya mafuta haya yanaweza kuwa magumu kuyapunguza baada ya kujifungua.
CHANZO CHA KUGUNDULIKA KWA PROGRAM ILIYO MSAIDIA MTEJA WANGU MARIA KUPUNGUZA UZITO NYAMA UZEMBE NA UNENE NA KUWA NA MATOKEO YA KUDUMU
Huwezi uka tengeneza tiba Fulani ya tatizo la kiafya bila kujua CHANZO chake ni kipi.
Hivyo basi FOREVER LIVING PRODUCTS. Katika tafiti zao za muda mrefu waliweza kugundua ni kwanini watu wengi hawa pungui uzito hata baada ya kutumia diet kutoka kwa wataalamu wa nutrition na dawa mbalimbali.
Na wengine kupata matokeo yasiyo dumu na badae uzito kuongezeka mara mbili zaidi.
Gunduzi mojawapo ni sumu mwilini (Toxin's).
Watu wengi hawajui uwiano kati ya sumu mwilini na unene.
Sumu tunazipata katika vitu vingi kuanzia kwenye vyakula na vinywaji lakini hata vile vitu vya muhimu mwilini navo vina simu.
Kama matunda na mboga mboga kutokana na mbolea zinazotumika na dawa zaku ulia vijidudu tayari zina chemical ambazo ziki ingia mwilini ni sumu.
Sumu katika Dunia ya Leo sio tu kwa wale wanao vuta sigara na kunywa pombe kali kila mtu Leo hii ana ingiza sumu mwilini.
Madhara ya sumu mwilini kwa mtu anaye taka kupungua uzito na nyama uzembe.
Sumu ina shusha uwezo wa Mwili kutumia chakula ambacho kimeingia ( lowers metabolism).
Sumu zina ongeza uzalishaji wa kiwango Cha mafuta Mwilini.
Kwa sababu sumu zinapo zidi Mwili una zalisha mafuta kuzunguka viungo vilivyoko ndani ya Mwili ili sumu zisi athiri ogani hizo.
Na kadri mafuta haya yanapo ongezeka ndivyo mtu anavo zidi kupata unene na hatari ya magonjwa ambatana na unene.
Pia sumu Zina haribu uwiano wa homoni Mwilini hasa zile zinazo husika na kudhibiti hamu ya kula na matumizi ya nishati kama vile leptin na gharlin hivo kupelekea hamu ya kula kuongezeka kama nilivyo sema hapo awali.
KWANIN WATU WENGI WANAOFANYA DIET HAWAPUNGUI UZITO NA KUKOSA
MATOKEO YA KUDUMU?
Watu wengi wanatumia fomula za aina fulani ya vyakula vyenye calori ndogo na hata kupunguza milo kwa siku ili kupunguza mwili pamoja na mazoezi makali sana lakini hawa pati matokeo kwa sababu hawaja ondoa sumu Mwilini.
Mafuta yana tunza sumu ili kuulinda mwili!!
Unapo fanya diet una upa stress mwili na kuchoma mafuta hivo utafanikiwa kuondoa mafuta mwilini na utapungua lakini matokeo hayo haya tadumu.
Kwa sababu baada ya mafuta kuondoka mwilini sumu zita sambaa mwilini na kusababisha mwili kuzalisha tena mafuta ili kujilinda na sumu hivo uzito na nyama uzembe una rudi tena.
Picha unayo iona hapo chini inaonyesha namna mtu anaye fanya diet bila kuondoa sumu asivo weza kupata mafanikio.

NINI HUTOKEA UKISAFISHA MWILI NA KUONDOA SUMU MWILINI
KABLA YA KUFANYA DIET?
Kama nilivo kwisha kusema awali kwamba katika dunia ya sasa sumu mwilini sio kitu tunachoweza kukiepuka kirahisi.
Hivyo basi miili yetu itakuwa ina tengeneza mafuta ya kutosha ili kuzuia sumu isipate nafasi ya kufanya uharibifu zaidi.
Kwahio tukisafisha Miili yetu na kuondoa sumu tuka fanya diet basi mafuta yaliyo ndani ya mwili hasa tumbo yata chomwa na sumu hazito sambaa tena mwilini.
Kwahio mwili utapata matokeo bora na yakudumu kiasi kidogo cha mafuta na afya bora.
Picha unayo iona hapo chini ina onyesha namna ambavyo mtu hupata matokeo bora ya uzito baada ya kuondoa sumu mwilini.

USIPO ONDOA SUMU MWILINI
ZOEZI LA KUPUNGUA LITA KUWA GUMU SANA.
Ukiondoa sumu mwili uka pungua hauto endelea kuzalisha mafuta..
Baada ya kufahamu Siri hii FOREVER LIVING PRODUCTS ili fanikiwa kugundua mmea ambao ume tumika tangu enzi za mababu zetu 500 BC unao julikana kama miracle plant (mmea wa miujiza)unao itwa aloe barbadensis.
Mmea huu ndo kiini cha kuvumbuliwa kwa CLEAN NINE{C9} program ambayo mteja wangu Maria alitumia na akapata matokeo ya kudumu.
Clean nine ni programu ambayo imesha thibitishwa zaidi ya nchi 160 duniani chini ya forever living products tangu mwaka 1978.
Sio kitu kinacho jaribiwa bali ni programu ambayo tayari imesha onyesha matokeo kwa watumiaji wengi.
Clean nine ni programu yaku safisha mwili kuondoa sumu mwilini na kupunguza uzito na nyama uzembe ndani ya siku tisa . watu hupungua wastani wa kilo 5-9 ndani ya siku tisa tu

Bidhaa zilizopo ndani ya programu ya clean nine
1.Aloe vera gel
Kama nilivyo kwisha sema hapo awali ili mtu aweze kupungua na kupata matokeo ya kudumu ni lazima aondoe sumu mwilini.
Hivo basi bidhaa hii ni juice halisi ya mmea wa aloe barbadensis unao julikana kama mmea wa miujiza.
Ita kusafisha na kuondoa sumu zote mwilini.
Pia kuondoa changamoto zote za mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Kama tumbo kujaa gesi,Mingrumo tumboni,kujamba ovyo na kiungulia.
Bidhaa hii ina uandaa mwili kupokea virutubisho na kuongeza ufanisi wa mwili kuchoma mafuta
2.Forever Fiber
Bidhaa hii iliyo ndani ya programu ya c9 ina kufanya ukae muda mrefu bila njaa.
Ina fiber ambayo ina asili ya nyuzi nyuzi inayo saidia kupata choo laini unapokuwa kwenye diet
3.Forever therm
Bidhaa hii inaongeza nyuzi joto moja mwilini ili kuongeza speed ya uvunjaji wa chakula mwilini (metabolism).
Hivo inaongeza uwezo wa mwili kuyeyusha mafuta pia ina madini na vitamin hivo kuondoa
uchovu na kumpa mtu nguvu
4.Forever Garcinia
Bidhaa hii inapunguza hamu ya kula kama nilivyo kwisha sema hapo mwanzo kwamba homoni ya leptin ina zalishwa na seli za mafuta ili kushusha hamu ya kula.
Lakini watu wenye uzito ulio pitiliza homoni hii inapata upinzani na kushindwa kushusha hamu ya kula.
Hivo basi garcinia ita enda kuongeza ufanisi wa homoni hii na kupunguza hamu ya kula.
Pia kuna homoni ya gherlin ambayo kazi yake kuu niku ongeza hamu ya kula.
Hivo basi garcinia ita enda kushusha uzalishaji wa homoni hii ambayo iko juu kwa watu wenye uzito ulio pitiliza na nyama uzembe.
5.Forever Lite ultra
Bidhaa hii hutumika kama mbadala wa chakula pale ambapo utakuwa hauli chakula cha kawaida yani utakuwa kwenye diet.
VIFAA VILIVYOPO NDANI YA PROGRAMU YA CLEAN NINE
1.FUTI KAMBA(TAPE MEASURE). Kwa ajili ya kupima unene wa tumbo
2.C9 BOOKLET. Kitabu chenye mwongozo mzima wa program namna ya kutumia
3.CHUPA. Hii ni kwa ajili ya kuchanganya mchanganyiko wa bidhaa zako .
Program hii ime tengenezwa kiasilia kabisa katika namna ambayo haita leta MADHARA mwilini mwakao.
Si hivyo tu
Programu hii ime thibitishwa na mamlaka za dawa na chakula za FDA duniani na TMDA kwa hapa Tanzania.
Kwahio wasi wasi wako wa kupata mdhara baada ya kutumia programu hii uweke pembeni kabisa.
Utakapo anza kutumia programu hii ya siku tisa uta shangaa kwa matokeo utakayo pata
Utapungua uzito haraka kama upepo unavo pungua kwenye tairi la gari bila kutumia lishe Kali na mazoezi makali.
Programu hii ina bidhaa zinazo lenga mafuta ya tumbo moja kwa moja na nyama uzembe kiujumla.
Programu hii itakupa ujasiri na kujiamini hasa linapo kuja swala la muonekano wa mwili
Itakusaidia kupunguza na kukupa mwili unao uhitaji.
Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao wanatamani kupungua lakini wame shindwa.
kutokana na hamu ya kula ovyo basi Programu hii itakusaidia kuondokana na hamu ya kula hovyo na appetite yako ita thibitiwa .
Utakapo tumia programu hii huto harisha, kutapika Wala kuchoka choka ovyo ni salama kabisa
Programu hii ina matokeo ya kudumu na ni rahisi kutumia.
WATU GANI WANAWEZA KUTUMIA PROGRAMU HII YA CLEAN NINE
Programu hii inaweza kutumiwa na mtu yeyote wa jinsia yeyote mwenye umri wa kuanzia miaka 14 na kuendelea.
Lakini kina mama wajawazito na wanao nyonyesha Hawa wezi kutumia programu hii ya C9.
Kwa sababu mama mjamzito na anaye nyonyesha anapata mabadiliko makubwa ya homoni
Hivo kupelekea kuwa na hamu ya kula Sana ili mwili utengeneze virutubisho vya kutosha kwa ajili ya maziwa ya mtoto.
Kwa hio program hii haito mfaa mama mjamzito na anaye nyonyesha kutokana na kuwa na bidhaa inayo shusha hamu ya kula.
Lakini usihofu kama wewe ni mama mzazi umesha jifungua na una nyonyesha.
Tunayo package maalumu kwa ajili ya kina mama wanao nyonyesha (breastfeeding package).
Itakayo kusaidia kupunguza uzito bila kuharibu maziwa ya mtoto.
Itakusaidia kuondoa sumu mwilini kupunguza nyama uzembe na kuongeza virutubisho zaidi kwa ajili ya maziwa ya mtoto.
Hakika Programu hii ni suluhisho jipya na laki pekee
usiyaamini maneno yangu tu hawa ni baadhi ya watu walio tumia programu hii na kupata matokeo ya kudumu



CLEAN NINE PROGRAM INA GARIMU KIASI GANI?
Programu za kupunguza uzito kwa makampuni mengine gharama yake ni 850,000/= .
Kwahio nikisema bei ya C9 Program ni 600,000/=.
Itakuwa ni bei rafiki Sana ukizingatia forever living products wame tumia gharama kubwa Sana kuandaa bidhaa za program hii kiasilia kabisa na teknolojia ya juu hivo kugharimu mabilioni ya PESA .
Lakini hata hivo program hii hauto ipata kwa bei hio ya 600,000/=. Uta ipata kwa.
395,000/=.
Na Ile ya breastfeeding package kwa ajili ya kina mama wanao nyonyesha uta ipata kwa
292,000=/ .
Kuna sababu kwanini nime amua kutoa punguzo la bei kubwa kiasi hicho .
Sababu ni kwamba wateja wangu wame kuwa mabalozi wazuri wa program hii hivo kufanya
nipate wateja wengi zaidi kirahisi.
Ndio maana nimetoa punguzo Hilo la bei ili hata wewe uweze kufarahia matunda utakayo pata na uwalete wahanga wengi wa uzito ulio pitiliza na kitambi.
Lakini punguzo hili la bei halito kuwepo siku zote
Programu hii inatengenezwa marekani kwa hapa Tanzania program zilizo Baki ni kwa watu mia moja tu.
Kwa hiyo watu 100 wa kwanza kuchukua program hii watapata punguzo Hilo la bei na wata sajiliwa kwenye club ambayo wataendelea kupata punguzo la bei kwa order zingine hata mzigo mpya utakapo fika kutoka marekani.
Watu 100 wanaonekana ni wengi lakini kumbuka tangazo hili linaonekana na wa Tanzania wengi wenye simu za smartphone zenye uwezo wa kuingia mtandaoni.
Na wengi wamesha choka kupoteza PESA zao kwenye tiba zisizo fanya kazi kwahio nina uhakika ndani ya wiki au siku kadhaa watu hao 100 watakuwa wamesha chukua program hii.
Hivo hutapata Tena punguzo la bei ninalo litoa kwa watu 100 wa kwanza
Sio hivyo tu baada ya order hizo kuisha itakupasa kusubiri miezi mitatu ili mzigo mwingine ufike kutoka marekani.
Pengine ume tumia njia mbalimbali kuondokana na tatizo lako lakini hujafanikiwa lakini ume ishia kupoteza PESA zako na una hofia kupoteza zaidi.
Naelewa hali unayo pitia hivo Nita kuuzia program hii kwa dhamana(guarantee).
Dhamana hii iko hivi tumia clean nine program au breastfeeding package kwa mama anaye nyonyesha
Na kama hutopata matokeo basi piga namba hizi 0759201942 na utarudishwa PESA zako zote.
Unacho takiwa kufanya kwa Sasa angalia program unayo itaka hapo chini na ujaze fomu kwa ajili ya kuweka order yako.
C9 Program 600,000/=395,000/=
Package ya mama Breastfeeding package 600,000/= 292,000/=.
Malipo yote yafanyike kupitia NMB NUMBER Au MPESA NUMBER
Namba ya account ya mpesa ni 0759201942 jina ni NETTO ELLY NAHHATO
Namba ya Account ya NMB ni 40710029102 jina ni NETTO ELLY NAHHATO
kwa mkoa wowote ulipo unalipia programu unayo itaka kupitia moja ya account hapo juu
Halafu una ongeza na shilingi elfu 10,000/= kama gharama ya kusafirisha mzigo
Hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya oda yako unayo itaka halafu unafanya malipo ya oda yako pamoja na gharama ya usafiri ndipo uta tumiwa mzigo wako.
Kujaza fomu ni rahisi
bonyeza hapo chini sehemu iliyo andikwa ODA YANGU
Baada ya kubonyeza sehemu hio itafunguka fomu na utajaza taarifa zako na
kutuma oda yako.
Bonyeza sehemu hii sasa hivi
Aante kwa muda wako
ni mimi
Dr Elly
0759201942
PS; Kama nilivyo kwambia zipo oda za watu 100 tu kwa sasa.
saa iliyopo hapo chini itakapo soma sifuri maana yake oda zote zimesha chukuliwa na tangazo hili huto liona tena mpaka pale tutakapo pata mzigo mpya na kuanza kutangaza tena kwa mara nyingine tena
kwahio usiendelee kusubiri wakati suluhisho la tatizo lako liko mbele yako.
Tuma oda yako mapema kabla huja wahiwa
This site is not part of the FacebookTM Website or FacebookTM Inc, Additionaly this site is not endorsed by FacebookTM in any way facebookTM is a trade mark of FacebookTM,Inc.